Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ojiyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Ojiyama

Uwanja wa Michezo wa Ojiyama ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Ōtsu, Shiga nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya MIO Biwako Shiga na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ojiyama kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.