Uwanja wa Michezo wa Oita Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Oita Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1965 kwenye mji wa Ōita, Ōita Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Oita Trinita na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,943.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Oita Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |