Uwanja wa Michezo wa Oga Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Oga Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Oga, Akita nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Blaublitz Akita na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Oga Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |