Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nuevo Francisco Urbano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Nuevo Francisco Urbano ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2013 kwenye mji wa Morón nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Deportivo Morón na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 32,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nuevo Francisco Urbano kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.