Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Norberto Tomaghello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Norberto Tomaghello ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Florencio Varela nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Defensa y Justicia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Norberto Tomaghello kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.