Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nobeoka Nishishina Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Nobeoka Nishishina Athletics

Uwanja wa Michezo wa Nobeoka Nishishina Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1968 kwenye mji wa Nobeoka, Miyazaki Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Honda Lock na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nobeoka Nishishina Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.