Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nipro Hachiko Dome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Nipro Hachiko Dome

Uwanja wa Michezo wa Nipro Hachiko Dome ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1997 kwenye mji wa Odate, Akita nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Blaublitz Akita na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,040.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nipro Hachiko Dome kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.