Uwanja wa Michezo wa Niigata City Athletic
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Niigata City Athletic ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1936 kwenye mji wa Niigata, Niigata Chūbu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Albirex Niigata (1998–2001) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,671.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Niigata City Athletic kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |