Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Newcastle Nambari 1

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Newcastle Nambari 1 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Newcastle nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

  1. "Newcastle No.1 Sportsground | Austadiums".
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Newcastle Nambari 1 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.