Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Newcastle Namba 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Newcastle Number 2 Sports Ground ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Newcastle nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Newcastle Jets FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "Project : NEWCASTLE NO 2 SPORTSGROUND". cordellconnect.com.au. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-04. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Newcastle Namba 2 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.