Uwanja wa Michezo wa Nelson Mandela
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Nelson Mandela ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2023 kwenye mji wa Baraki, Algiers nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Algeria National na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 40,784.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mise en service du système intelligent du stade de Baraki d'Alger". APS. 25 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nelson Mandela kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |