Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nakadai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Nakadai

Uwanja wa Michezo wa Nakadai ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1983 kwenye mji wa Narita, Chiba nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya JEF United Chiba Ladies na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nakadai kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.