Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nagoya City Minato Football

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Nagoya City Minato Football

Uwanja wa Michezo wa Nagoya City Minato Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Nagoya, Aichi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Maruyasu Okazaki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nagoya City Minato Football kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.