Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nagai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Yanmar Nagai

Uwanja wa Michezo wa Nagai ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Osaka city, Osaka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cerezo Osaka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 47,816.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nagai kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.