Uwanja wa Michezo wa NV Arena
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa NV Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sankt Pölten nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya SKN St. Pölten na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "NV Arena –". Stadiumdb.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-22.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa NV Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |