Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa ND Soft Yamagata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa ND Soft Yamagata ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1991 kwenye mji wa Tendō, Yamagata nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Montedio Yamagata na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 21,292.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa ND Soft Yamagata kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.