Uwanja wa Michezo wa Mutsu Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Mutsu Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1968 kwenye mji wa Mutsu, Aomori Tōhoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ReinMeer Aomori na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,200.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mutsu Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |