Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Muroran Irie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Muroran Irie

Uwanja wa Michezo wa Muroran Irie ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1988 kwenye mji wa Muroran, Hokkaido Hokkaido nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Consadole Sapporo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,600.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Muroran Irie kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.