Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Mohamed Boumezrag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Mohamed Boumezrag ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Chlef nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ASO Chlef na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,000.[1]

  1. "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mohamed Boumezrag kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.