Uwanja wa Michezo wa Mizushima Greenery Fukuda Park Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Mizushima Greenery Fukuda Park Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1976 kwenye mji wa Kurashiki, Okayama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fagiano Okayama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mizushima Greenery Fukuda Park Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |