Uwanja wa Michezo wa Mikuni World
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Mikuni World ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2017 kwenye mji wa Kitakyushu, Fukuoka Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Giravanz Kitakyushu[1] na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,300.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Clubs".
- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mikuni World kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |