Uwanja wa Michezo wa Mie Suzuka Sports Garden
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Mie Suzuka Sports Garden ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1992 kwenye mji wa Suzuka, Mie nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Suzuka Point Getters na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mie Suzuka Sports Garden kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |