Uwanja wa Michezo wa Mie Kotsu Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Mie Kotsu Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1968 kwenye mji wa Ise, Mie Kansai nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Veertien Mie na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 19,067.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mie Kotsu Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |