Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Melbourne Rectangular

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Melbourne Rectangular ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Melbourne City FC, Melbourne Victory na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]

  1. Welch, Kalila (2021-11-25). "AAMI renews naming rights for Melbourne's AAMI Park". Mumbrella (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-08-07.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Melbourne Rectangular kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.