Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Melbourne Cricket Ground

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Melbourne Cricket Ground (MCG) ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 100,024.[1]

  1. "Biggest Stadiums in The World By Capacity". 6 Februari 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Juni 2018. Iliwekwa mnamo 16 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Melbourne Cricket Ground kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.