Uwanja wa Michezo wa McKellar Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa McKellar Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Canberra nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Canberra United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 3,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Belconnen Soccer Club McKellar Grandstand". www.projectcoord.com.au. Iliwekwa mnamo 2017-01-31.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa McKellar Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |