Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Maruyasu Ryuhoku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Maruyasu Ryuhoku

Uwanja wa Michezo wa Maruyasu Ryuhoku ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1968 kwenye mji wa Okazaki, Aichi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Maruyasu Okazaki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Maruyasu Ryuhoku kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.