Uwanja wa Michezo wa Mario Alberto Kempes
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Mario Alberto Kempes ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Córdoba nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Belgrano (C), Instituto, Racing (C), Talleres (C) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 57,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Mario Alberto Kempes kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |