Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Marcelo Bielsa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Marcelo Bielsa ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1911 kwenye mji wa Rosario nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Newell's Old Boys na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 38,095.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Marcelo Bielsa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.