Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Manuka Oval

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Manuka Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Canberra nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, Australia women's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,000.[1]

  1. Manuka Oval – Austadiums. Retrieved 20 March 2016.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Manuka Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.