Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Malvinas Argentinas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Malvinas Argentinas ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Mendoza nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Godoy Cruz, Independiente Rivadavia, Huracán (LH), San Martín (M) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 42,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Malvinas Argentinas kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.