Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Madre de Ciudades

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Madre de Ciudades ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2020 kwenye mji wa Santiago del Estero nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Central Córdoba, C.A. Mitre na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Madre de Ciudades kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.