Uwanja wa Michezo wa Más Monumental
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Más Monumental ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1938 kwenye mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya River Plate na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 84,567.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stadium information in the official website". Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Más Monumental kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |