Uwanja wa Michezo wa Lemon Gas
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Lemon Gas Hiratsuka ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Hiratsuka, Kanagawa Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Shonan Bellmare na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,690.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lemon Gas kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |