Uwanja wa Michezo wa Leichhardt Oval
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Leichhardt Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume Australia, timu ya taifa ya soka ya Australia ya wanawake, Sydney FC (A-Ligi ya Wanawake) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Venues by Country". www.rugbyleagueproject.org.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Leichhardt Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |