Uwanja wa Michezo wa Lavington
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Lavington ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Albury nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia women's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lavington kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |