Uwanja wa Michezo wa Latrobe City
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Latrobe City ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Morwell nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Falcons 2000 SC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Latrobe City Stadium". austadiums.com. Austadiums. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Latrobe City kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |