Uwanja wa Michezo wa Lang Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Lang Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Brisbane Roar FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 52,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Our Home Grounds". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 13 Aprili 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lang Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |