Uwanja wa Michezo wa Lakeside
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Lakeside ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, Australia women's national soccer team, South Melbourne FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lakeside Stadium". South Melbourne FC. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lakeside kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |