Uwanja wa Michezo wa La Bombonera
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa La Bombonera ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1981 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Atlético Basáñez na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa La Bombonera kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |