Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Lökbatan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Lökbatan ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa kwenye mji wa Lökbatan nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Qaradağ na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 2,500. [1]

  1. "World Stadiums - Stadiums in Azerbaijan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lökbatan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.