Uwanja wa michezo wa Kwezi Naledi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Kwezi Naledi ni uwanja wa shughuli mbalimbali za kimichezo huko Lady Grey, Eastern Cape nchini Afrika Kusini. Hivi sasa unatumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka), na ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Mighty Greens F.C..

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kwezi Naledi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.