Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kushiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kushiro

Uwanja wa Michezo wa Kushiro ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Kushiro, Hokkaido nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Consadole Sapporo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 11,600.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kushiro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.