Uwanja wa Michezo wa Kusanagi Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kusanagi Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1957 kwenye mji wa Shizuoka city, Shizuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Shimizu S-Pulse na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 28,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kusanagi Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |