Uwanja wa Michezo wa Kumagaya Rugby Ground
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kumagaya Rugby Ground ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1991 kwenye mji wa Kumagaya, Saitama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Panasonic Wild Knights na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 24,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kumagaya Rugby Ground kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |