Uwanja wa Michezo wa Kumagaya Athletic
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kumagaya Athletic ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2003 kwenye mji wa Kumagaya, Saitama Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Omiya Ardija na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,392.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kumagaya Athletic kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |