Uwanja wa Michezo wa Koshin Gom Athlete Park Sendai
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Koshin Gom Athlete Park Sendai ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1952 kwenye mji wa Sendai, Miyagi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Brummell Sendai na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Koshin Gom Athlete Park Sendai kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |