Uwanja wa Michezo wa Kobe Universiade Memorial
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kobe Universiade Memorial ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Kobe, Hyogo nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Vissel Kobe na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 35,910.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kobe Universiade Memorial kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |