Uwanja wa Michezo wa Kimataifa wa Newcastle
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kimataifa wa Newcastle ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Newcastle nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, Australia women's national soccer team, Newcastle Jets FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "McDonald Jones Stadium". Austadiums. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kimataifa wa Newcastle kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |