Uwanja wa Michezo wa Khan Shaheb Osman Ali
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Khan Shaheb Osman Ali ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2005 kwenye mji wa Narayanganj nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cricket na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bangladesh stadia await ICC approval". ESPNcricinfo. Iliwekwa mnamo 21 Desemba 2019.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Khan Shaheb Osman Ali kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |